MREMBO ACHEZA UCHI WA MNYAMA KUWAPA BURUDANI WAFUNGWA.


Kasheshe limezuka baada ya mwanamke mcheza dansi uchi kuwachezea uchi wafungwa 300 katika jela moja nchini Hispania na sasa umoja wa walinzi wa jela hiyo unasema hali itakuwa mbaya zaidi kutokana na shoo hiyo. 
 Mwanamke huyo akicheza uchi na kujimwagia maziwa mwili mzima aliwaruhusu wafungwa hao k
uuchezea mwili wake.

Gavana wa jela hiyo ametakiwa kujiuzulu baada ya kuruhusu mcheza uchi huyo kuwachezea uchi wafungwa wapatao 300.
Umoja wa walinzi wa magereza nchini Hispania umekiri kwamba mcheza uchi huyo alifanya shoo yake mbele ya wafungwa hao na wakuu wa magereza hawakuzuia kitendo hicho.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger