Akielezea tukio hilo, Bela alisema mara baada ya kumleta mjini binti
huyo, alikuwa akimtokea mara kwa mara ndotoni akitaka kumyonga na
alipomuuliza alikiri kuwa yeye amerithishwa mikoba ya kichawi na bibi
yake.
“Daah! Ilikuwa kivumbi mwenzangu ndani hakukaliki, nimeamua kumrudisha kwao Mtwara maana nilikuwa silali vizuri,” alisema Bela.
“Daah! Ilikuwa kivumbi mwenzangu ndani hakukaliki, nimeamua kumrudisha kwao Mtwara maana nilikuwa silali vizuri,” alisema Bela.
No comments:
Post a Comment