Mwana Hip Hop Jay Z na mkewe Beyonce aka Queen Bey ambaye juzi kati
alikomba tuzo tatu za BET.
Jay Z na Queen Bey wakiwa katika mtoko wa shopping kwa ajili ya
kumnunulia mtoto wao nguo Blue Ivy hii ni moja ya mapendo kwa mtoto wao
mwenye umri wa miaka miwili, swali langu kwako wewe huwa mnatoka na kama
hivi au unatoka mwenyewe na kwenda kumnunulia mtoto nguo za oversize
No comments:
Post a Comment