ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATIMKA JANGWANI NA KUTUA AZAM FC


Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Chuji akifanya yake leo mazoezini.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger