Baada ya hivi karibuni mwanamitindo Jokate Mwegelo kutangaza kutafuta
mchumba, idadi kubwa ya wanaume wamekuwa wakihaha kusaka mawasiliano
naye huku kila mmoja akijinadi kivyake.
Mara baada ya habari ya Jokate ya kutafuta mchumba kutoka kwenye
gazeti hili wiki iliyopita, namba ya simu ya chumba chetu cha habari
imekuwa bize kupokea simu za wanaume mbalimbali wakiomba kuunganishwa na
mrembo huyo.
Hata hivyo, jitihada za kumuunganisha mmoja mmoja kwa mrembo huyo
hazikufanyika ila kwa yoyote anayehisi ana vigezo na ana nia ya dhati ya
kumuoa na si kumchezea afike katika ofisi zetu nasi tutamuelekeza njia
sahihi ya kumpata.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment