HIZI NDIO TAKWIMU ZA DIEGO MARADONA DHIDI YA LIONEL MESSI





LIONEL MESSI - 2006, 2010, 2014


Mechi za WC - 14
Magoli ya WC - 5 (3 pasi za mwisho)
Amegusa mpira mara - 958 (191.6 touches/goal)
Dakika alizocheza - 1170 (234.0 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 22 (44% yalilenga goli)
Wastani wa magoli na umbali- - 22.2 yards (3 magoli nje ya boksi)
Jumla ya mashuti - 50 (22.7% yalienda golini)

Wastani wa umbali wa magoli ya kombe la dunia Maradona and Messi have done their World Cup scoring in very different ways.
Maradona  na Messi wamfanya kazi yao katika kombe la dunia kwa kufunga kwa kila namna 


Kiwango cha Argentina katika fainali za kombe la dunia uliwalinganisha - Maradona '86 vs. Messi '14

Magoli: Maradona (5) - Messi (5)
Pasi za mwisho: Maradona (4) - Messi (1)
Magoli ya timu: Maradona (14) - Messi (8)
Wastani wa mabao ya timu: Maradona (71.4%) - Messi (63%)
Makombe ya kombe la dunia: Maradona (1) - Messi (TBD)
Idada za mechi walizocheza kwa wakati wote.
1. Javier Zanetti - 145
2. Roberto Ayala - 115
3. Diego Simeone - 106
4. Javier Mascherano - 104
5. Oscar Ruggeri - 97
6. Lionel Messi - 92
7. Diego Maradona - 91
8. Ariel Ortega - 87
9. Gabriel Batistuta - 78
10. Juan Pablo Sorin - 76

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger