Miss
Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha
za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films.
Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing room
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
Ofisi ya EFFTazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing room
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
Meza ya editor
Kuelekea EFF
Ofisi ya sekretari wake
Reception
Waiting Lounge
No comments:
Post a Comment