Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha
kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na
maumbile, au analika pande zote tetesi hizi zimeleta mchanganyiko kidogo
kwenye urembo huu.
Watu wengine wamediriki hata kukataza kabisa wapenzi wao wasivae urembo huo, mimi binafsi siwezi kuongozana na mtu amevaa kitu kama hicho. Haya sasa kazi kwako mdau, wewe unaonaje ni sawa urembo huo kutumika, na je mwenza wako akivaa urembo huo, utaafiki..!!?

No comments:
Post a Comment