MKE wa Kingwendu ambaye ni muigizaji maarufu wa filamu za vichekesho nchini amefanyiwa
kitendo kibaya cha ubakaji na mwanaume aliyefahamika kama
Upunguvuku katika pagala moja huko Mbagala Kingugi kwa Kisauti.
Mke
wa Kingwendu anayejulikana zaidi kwa jina la mama Maua,
alikutwa na masahibu hayo Alhamisi iliyopita baada ya kuvamiwa
na Upunguvuku anayedaiwa kuwa alikuwa amelewa na kuingizwa
kwenye jumba ambalo halijakamilika kujengwa lililopo maeneo ya
Kwa Dunga ambapo wapita njia waliwafuma na kuanzisha
mtiti....

Kwa Taarifa zaidi juu ya TUKIO hili tutawajulisha hapa hapa pindi uchunguzi utakapokamilika...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment