skip to main |
skip to sidebar
MAPOKEZI YA DIAMOND PLATINUMZ JIJINI DAR NI BALAA,JIONEE MWENYEWE PICHA ZAIDI YA 40 HAPA...!
Diamond
Platnumz ameingia Dar es salaam usiku wa July 10 mashabiki wengi
wakiongozwa na mama yake,dada yake pamoja na mpenzi wake Wema Sepetu ni
miongoni mwa halaiki ya watu waliojitokeza kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa
Mwalimu Nyerere Internation Airpot.
Hizi ni baadhi ya picha 45 za mapokezi ya Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment