RAY C AMFUNGUKIA TID MANENO MAZITO
Baada ya kukaa kimya kufuatia kutukanwa na TID kupitia mtandao wa Instagram, Ray C amemjibu staa huyo.
“Hi everyone!!!Asanteni kwa maombi yenu!mama anaendelea vizuri Mungu ni Mwema…………(na kuhusu @tidmnyama -Nimeona post yako,Asante kwa matusi yako ila sikuwa na nia mbaya tofauti na ulivyofikiria anyway Nakuombea kwa Mungu akuepushe na majanga ya dunia!ubarikiwe sana babaa,” ameandika Ray C.
Ray C ametoa kauli hiyo baada ya siku kadhaa zilizopita TID kumtukana baada ya kucomment kwenye post yake: Come let’s talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Hata hivyo Ray C hakufafanua anataka waongee kuhusu jambo gani na TID.
TID alijibu: “Bi*ch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you,ur mistake is yours nakuomba can u jus f*ck off,help ur boyfriend,I have never liked you,full stop,”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment