Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati
huu ana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti
yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa
,
Gazeti La Makorokocho lilimtafuta Msami na kumuuliza ukweli juu ya
Taarifa hizi lakini alichomoa, sikuishia hapo nikamtafuta Girl friend
wake wa zamani au niseme ambaye wamegombana kutokana na Msami kuchepukia
kwa Uwoya,
Girl Friend huyo anayeitwa Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana
maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika
Msami atarudi kwake wala hana Wivu na Uwoya na anachofahamu Irene Uwoya
eti alimlaghai Msami kwa kumwambia eti anataka kuwa meneja wake kwa
kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye
Dimbwi zito la mahaba
No comments:
Post a Comment