Jux
ndie Msanii anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na
zinampendeza, wapo wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni
namba moja ukitaka kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.
Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.
No comments:
Post a Comment