WEWE MTUMIAJI WA KUCHA BANDIA INAKUHUSU, ANGALIA MADHARA WATAKAYOPATA WATUMIAJI WA KUCHA BANDIA

Msichana Sarah Greenaway mwenye umri wa miaka 17 amekosa kidole chake baada ya kutumia gundi ya kugandishia kucha bandia.
Kidole cha dada huyo kilianza kubadilika kuwa bluu na baadae njano muda fulani baada ya kuweka gundi hiyo.
Alipelekwa hospitali na kufanyiwa upasuaji ambao ulimghalimu kidole chake huko kusini mwa Wales, Uingereza.

 



Jamani uangalifu kwenye utumizi wa vipodozi muhimu.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger