WOLPER AFUNGUKA KUHUSU WATU WANAOTUMIA ACCOUNT FAKE ZENYE JINA LAKE MITANDAONI



Ndugu wapenzi napenda kuweka wazi kua kwa sasa situmii mtandao wa kijamii wa Facebook ila ni hivi karibuni nitawapa account yangu ya facebook. Nimeamua kuweka wazi maana amejitokeza mtu anayetumia jina langu la mtandao wa kijamii wa ''INSTAGRAMU'' unaotumia jina la WOLPERGAMBE, na yeye amefungua account ya Facebook na kujiita WOLPERGAMBE. Nawaombeni radhi kwa usumbufu wowote mlioupata kutoka kwa mtu huyo maana sio mimi. Na nitakapotoa jina la account yangu ni kwamba kila nitakachoweka INSTAGRAM nita share moja kwa moja na watu wa Facebook asante Watanzania na pia nawatakia RAMADHANI KARIM.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger