ALLY KIBA ATOA MAJIBU KWA NINI KAFUTA FOLLOWERS WAKE, HABARI KAMILI HAPA

Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatimaye msanii Ali Kiba ameamua kujibu kama ifuatavyo:



  Hapo juu ni swali kutoka kwa mtangazaji wa Times FM Fadhili Haule na fans wengine
Hili ndo jibu la Ali Kiba. So ukitaka kuwasiliana nae tanya kumfollow twitter.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger