BINTI WA MIAKA 20 ANYWA SUMU BAADA YA KUTOSWA NA MSANII MAARUFU WA BONGOFLEVA, SOMA ZAIDI HAPA



Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Yvet usiku wa kuamkia jana amekunywa sumu baada ya kushtukia mpenzi wake ambaye ni msanii wa kundi la Micharazo Becka Tittle eti ana mchepuko na alipomuuliza mpenzi wake eti akatoswa, binti ndio akarudi kwao na ilipofika mida ya usiku
akachanganya madawa vikiwemo vidonge vya F******l*** akanywa ndipo mama mtu akaskia mtoto wake anaita kwa mbaali akaamka na kumkuta mwanae anatoa mapovu ikabidi amsaidie kwa kumpa maziwa na baadae kumkimbiza hospitali

BONYEZA HAPO CHINI KUSIKILIZA

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger