FAHAMU CHANZO KINACHOPELEKEA WATANGAZAJI WA CLOUDS KUPATWA NA MAJANGA


Baada ya matukio mfululizo kufanywa na watangazaji wa clouds fm ikiwa ni kupigana studio wakiwa kwenye vipindi,kutumia radio hiyo kuwakejeli na kuwadhihaki baadhi ya wanamuziki ambao wametofautiana nao kimtazamo,pia kutumia vipindi vya radio hiyo ya clouds fm kuwadhihaki wabunge wa vyama vya upinzania almaarufu kama UKAWA na mengine mengi
uchunguzi unaonyesha asilimia 86% ya watangazaji wa radio hiyo clauds fm walikuwa ni madancer ,MC na ma DJ kwenye masherehe mbalimbali na harusi ususani kichen part katika jiji la dar kabla ya kuunganisha kikundi hicho kuwa radio ambayo waliipa jina la clouds fm,kitu hicho ndicho kinawafanya wakose nidhamu kwa kuwa hawakupitia na kusomea mambo ya habari,na kama
mmesikia mtangazaji mwingine wa kipindi cha jahazi ndani ya radio hiyo ya clouds fm aitwaye
kibonde anashikiliwa na jeshi la police baada ya kusababisha ajali asubuhi ya leo kisha kuwatusi askari wa usalama barabarani na kutimuka zake,
hii ndo asili ya watangazaji wa clouds fm

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger