MAJUTO AJIINGIZA KWENYE SISAS, SASA KUOMBEA UBUNGE 2015


Msanii wa vichekesho anayeongoza kwa kufanya filamu nyingi zinazowakuna mashabiki wengi sana kwa sasa majuto ametangaza rasmi lengo lake la kuwania ubunge 2015 jimbo moja wapo mkaoni Tanga akiongea alisema

”Nimewatumikia kwa muda sasa wapezi wangu na kuwapa kile wanachohitaji kwa kupitia sanaa yangu, umefikia wakati nataka nioneshe uwezo wangu wa kufanya kitu kingine na nipo kwenye harakati za kuwania Ubunge mwaka 2015 Jimbo mojawapo mkoani kwangu Tanga. Lakini kwa sasa siwezi kuongea sana wakati ukifika kila kitu kitakuwa wazi ila kwa sasa mashabiki wangu wajiandae kunipigia kura za kutosha.”

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger