skip to main |
skip to sidebar
MAKAHABA WANASWA WAKIWA WANAJIUZA MCHANA KWEUPEE, WAONE HAPA
Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika eneo la Sinza.
Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
No comments:
Post a Comment