Moto uliozuka baada ya milipuko ya gesi nchini Taiwan.
Magari, barabara vikiwa vimeharibiwa na milipuko hiyo.
Mmoja wa majeruhi akitolewa eneo la mlipuko.
WATU 22 wamefariki dunia huku 270 wakijeruhiwa baada ya milipuko
kadhaa iliyosababishwa na kuvuja kwa gasi kutokea katika jiji la
Kaohsiung nchini Taiwan jana usiku. Mlipuko huo uliosababisha moto
mkubwa ulipindua magari, kuharibu barabara na baadhi ya majengo.
No comments:
Post a Comment