Naombeni unishauri kwasababu mpenzi wangu kabla ya tendo huwa namuandaa vya kutosha namyonya kila kona siachi sehemu mpaka anakataa mwenyewe lakini kinacho nishangaza nikianza kuingiza tu huwa analalamika anaumia mpaka analia
sasa mie nashindwa kumuelewa. tatizo ni nini?"
Hello Mick, asante kwa ushirikiano. Kuna machache yanayoweza kusababisha mpenzi wako kulia na la kwanza ni hili, huenda wewe ndio unaamini kuwa unamuandaa vya kutosha labda kwasababu wewe unakuwa tayari kama sio kuwa umechoka kwa vile unazingatia maeneo unayoyajua wewe na sio yale "yanayoibua" hisia za mpenzi wako.
Pili, kama baadhi ya wachangiaji walivyogusia, inawezekana maumbile yako ni makubwa kwa mpenzi wako na hajayazoea (inachukua muda kidogo mpaka aizoee).
Tatu, Kunauwezekano kuwa mnafanya ngono mara chache, kwasababu mwanamke akikaa muda mrefu bila kufanya ngono uke wake "husahau" na siku akifanya ngono hupatwa na maumivu mwanzoni lakini baada ya muda kidogo huku wewe mwanaume ukifanya taratibu na kumpa matumani kuwa unafanya polepole huku unamfanya ki-passionate maumivu huisha na kila kitu kinakuwa safiii mpaka mwisho.
Nne, huenda mnafanya kwa wizi (kama bado ni mwanafunzi, anaishai kwao na mnafanya ngono kwa washkaji n.k), hamtumii kinga (hofu yakushika mimba/magonjwa ya zinaa), sumu ya utamu wa ngono kwa mwanamke ni kuifanya ukiwa na hofu, hakika hutoweza kuwa tayari (kuandalika).
Tano, isije kuwa ukihisi ute ukeni wewe unadhani yuko tayari. Mwanamke kuwa na ute ukeni sio dalili kuwa unawez akuingiza, unatakiwa kuendelea mpaka uhisi ule ute unakuwa kama unadondoka hivi au kama una haraka sana basi tumia kidole chako kuingiza nakumchezea mpaka uone anatoa mihemo ya "give 2 me" alafu ndio ingiza uume na wakati unaendelea na tendo hakikisha unanyonya chuchu zake, kula denda, tafuta shingo, ulimi sikioni, kumshika hapa na pale ili kuongeza raha na kuufanya mwili wake usisahau kile kinachoendelea.
Na mwisho kabisa, aliyemtoa bikira hakufanikiwa kuingia ndani hivyo basi misuli yake ya uke haiko tayari kupokea kiungo chako, kama nilivyosema tena hapo awali itachukua muda kiasi na mnachotakiwa kufanya ni kufanya Ngono mara nyingi zaidi (kama inawezekana) kila mnapokutana. Mfano kama mzunguuko wa kwanza anadai anaumia, jitahidi kufanya ki-passionate na hakikisha siku hiyo mnafanya hata mara tatu nakurudia tena siku nyingine in the same week so mtakuwa mmefanya mara sita ndani ya wiki moja......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment