TAARIFA KUTOKA KWA AFANDE SERE JUU YA KIFO CHA MAMA WATOTO WAKE...!!! ISOME HAPA


Selemani Mshindi maarufu kwa jina la Afande Sele amewajulisha watu wake wa karibu na mashabiki kuhusu msiba uliomkuta kwa kufiwa na mama wa mwanae Tunda.
 Kupitia ukurasa wa facebook Afande Sele aliandika “Ndugu zangu!! Nimefiwa na mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. Sisi ni waja wa mwenyezi mungu na hakika kwake tutarejea; mungu ampumzishe pema.”
AFANDE

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger