WAJUA KUA NEY NDO CHANZO CHA DIAMOND KUHAIRISHA KUMUOA WEMA??? SOMA CHANZO HAPA


IMEVUJA kwamba Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ndiye aliyemshauri Nasibu Abdul ‘Diamond’ asioe kwa sasa ili asishuke kimuziki.


Staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’Ushauri huo umekuwa mwiba kwa mpenzi wa Diamond, Wema Sepetu ambaye amekuwa na ndoto yakuolewa na staa huyo anayekimbiza kitaani na wimbo wake wa Mdogomdogo.Wema Sepetu akiwa na mpenzi wake 'Diamond Platinum'.Akifafanua zaidi kuhusiana na ushauri huo, Nay alisema: “Kuna mifano mingi sana nimeiona kutoka kwa wasanii ambao wameoa, wengi wao wameshasanda sasa mdogo wangu (Diamond) na yeye alipoleta hoja ya kutaka kuoa nikaona sasa anatafuta shimo la kwenda kujifukia, nikamshauri aache.”

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger