Kama unakumbuka mara ya kwanza kumuona Jokate anaimba basi wengi
watasema walimwona kwenye video ya Kaka Dada aliyoimba na Lucci wakati
video yake ya kwanza ikiwa ni ile ya African Queen aliyoimba na AY. Hivi
karibuni mrembo Jokate Mwengelo alienda nchini Kenya kwa ajili ya
kufanya video ya single yake ya kwanza katika tasnia hii ya muziki.
Video hii amefanya na mtangazaji mkenya, Nick Mutuma ambapo aliimba
nyimbo ya video hii kwa mara ya kwanza kwenye Serengeti Fiesta Mwanza
.Hivi ni baadhi za vipande vya video hii mpya…
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment