HiIi ndilo gari aina ya Toyota Coaster lenye namba za usajili T454 BBV lililomgonga dada huyo.
Mwanamke mmoja (jina halijafahamika) aliyekuwa anavuka barabara ya
Morogoro maeneo ya Ubungo maji kutoka ng'ambo ya tank na kuelekea upande
wa Tanesco amegongwa na gari ya daladala aina ya Toyota Coaster
lililodaiwa kuvunja sheria likiwa linapita kwenye barabara ya magari ya
mwendo kasi.
Katika ajali hiyo dereva wa basi(daladala) hakupatikana kwani alikimbia baada ya ajali
No comments:
Post a Comment