KIJIJI CHA NOUSHAD BAITRAIS CHA TEKETEA KWA MOTO HUKO ZANZIBAR,PICHA ZA TUKIO ZIKO HAPA


Hali ndiyo hilikuwa hivi huko Zanzibar katika kijiji cha Baitrais kinachomilikiwa na Noushad aliekuwa mfadhili wa timu ya Malindi ya Unguja. soma na hii Wema sasa afungua kinagaubaga kuhusu suala la kuajiriwa na Kajala msikilize hapa===>>http://mdadisitz.blogspot.com/2014/09/msikilize-wema-akifunguka-juu-ya-suala.html 
Kwa wale wakazi wa Bububu wanaweza kupata taswira ya kijiji hicho cha Baitrais kwani kilikuwa barabarani ukielekea Bububu.

Chanzo cha moto huo kinasemekana kuwa ni shoti ya umeme

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger