NA ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOSI
SHABAASH! Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Hamis mkazi wa Tandale jijini Dar, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kumfuma mama yake mdogo akijiuza usiku.
Tukio hilo la kufedhehesha lilitokea usiku wa kuamkia juzi (Jumatano) maeneo ya Sinza Mapambano ambapo mapaparazi wetu walikuwa katika operesheni ya kuwasaka wanawake wanaojihusisha na biashara hiyo haramu.

Wakiwa
maeneo hayo, waandishi wetu walimuona kijana mmoja akiwa amejiinamia
baada ya kumfuata na kumhoji kilichompata, alidai kuwa alipewa taarifa
juu ya mzazi wake huyo aliyemtaja kwa jina la mama Husna kujiuza na siku
hiyo alimuona akiwa kwenye mawindo.
“Jamani niacheni maana nilichoshuhudia kimeniumiza sana…mama yangu anafikia hatua ya kuja kijiuza huku?...amekosa nini…au ni huu ugumu wa maisha dah…?” Alisikika kijana huyo aliyekuwa akilia.

No comments:
Post a Comment