KUTOKANA na kubadilika kimuonekano na kila kukicha
makalio kuzidi kuwa makubwa, mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse
amenangwa kwamba anatumia dawa za Kichina kuyaongeza ukubwa.
Tofauti na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na
makalio makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na
kusema kwamba mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza makalio kwani
yeye mwenyewe anaziuza dukani kwake.
“Yaani Maimartha anashangaza kweli kwani kila kukicha makalio
yanaongezeka wakati zamani alikuwa mwembamba pia hivi sasa anaonekana
kuwa ana shepu, kwanza kuna wakati hayampendezi,” alisema mdau mmoja
pasipo kutaja jina.
Maimartha alipoulizwa kuhusu ishu hiyo alisema: “Jamani nimeridhika tu na maisha yangu situmii dawa za kuongeza makalio.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment