Martin Kadinda ambaye ni meneja wa Wema Sepetu ameibuka na kusema kuwa Wema Sepetu aliyekuwa akimwaga pesa vilivyo kwasasa hana pesa ya kumlipa bali yeye Martin anahangaika kwa issue zake binafsi ili wasilale njaa...
Kadina amesema kuwa yeye na Wema hawana mkataba wa kulipana bali wapo kishkaji zaidi.
"Wema
hana pesa ya kunilipa mimi, ninachokifanya ni kuhangaika kutafuta
deals ili mimi na yeye maishani tusilale njaa, maisha ni kutegemeana.
"Kikubwa
ninachofanya ni kutafuta dili za kazi nyingi ili tuweze kupeana pasu
kwa pasu lakini si mshahara, nafanya kazi na bosi wangu Wema kishikaji
na kwa kweli nafurahia sana utaratibu huu"
Martin
alisema kuwa kama angekuwa na mkataba na Wema kumlipa kila mwezi
asingemudu na kusema yupo na Wema kwasababu anajua ni mtu wa aina gani
na anafanya kazi zake kwa uhuru bila kubanwa. CHANZO MDADISITZ
Wakati
Wema yupo kimapenzi na yule kigogo aliyejulikana kwa jina la
Clement(CK), Wema alidaiwa kumwaga pesa kila kona na wapambe kibao wa
kula bata nao huku akiwa na magari kadhaa lakini kwasasa anadaiwa
kushuka kiuchumi na kubaki na gari moja pekee huku wapambe aliokuwa nao
wakitimua na waliobaki kulalamika hawali bata kama zamani. chanzo mdadisitz
Hivi
karibuni tena Diamond Platnumz aliye mpenzi wa Wema alisema kuwa Wema
ni mtu wa starehe na kuendekeza mashoga wapenda anasa badala ya kutumia
fursa na umaarufu mkubwa alionao sasa kufanya kazi zake kwa bidii
hususani filamu.
No comments:
Post a Comment