NIMEGUNDUA MUME WANGU NA MIMI NI NDUGU WA DAMU KABISA...NAOMBENI USHAURI NIFANYAJE

 
Admin Hide my Name ....Mimi na mume wangu tumefunga harusi siku si nyingi , hapa tulipo tumechanganyikiwa as tumegundua sisi ni ndugu .....Story nzima ipo hivi ..mimi nimelelewa na mama angu tu baba angu alinikataa nikiwa mdogo na akahama nchi kwenda
kuishi Marekani ...so mimi na mama hatukuwa na mawasiliano naye kabisa mpaka naolewa hata baba hakuusika katika shughuli...Basi juzi kati amerudi Tanzania na akakutana na mama angu na mama akamwambia nishaolewa ...so akataka kuja kunisalimia mimi na mume wangu ...alivyofika tu nyumbani kwetu mume wangu

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger