Mainda
alisema hakuna kipindi kigumu kama kujua yupi ni mwanaume
sahihi wa kumuoa na hili limekuwa likiutesa moyo wake japo
sasa ameamua kumwachia Mungu wake ili amsaidie kwani kwa akili
zake ameshindwa...
"Hakuna
wakati mgumu kama kipindi cha kumpata mume sahihi kutoka kwa
mungu, kwani ukijichanganya unaweza kuchukua mwanaume ambaye si
wako na kusababisha kuwe na mafarakano ndani ya ndoa na hili
ndio linaumiza kichwa changu kwani mpaka sasa sijajua ni yupi
kati ya wengi wanaohitaji kunioa," alisema Mainda
Msanii
huyo alisema anajifunza mambo mengi kupitia ndoa za watu
waliomtangulia kwani nyingi zimejaa vurugu likiwemo suala la
kusalitiana na kuambukizana magonjwa ya zinaa kama vile Ukimwi
na menginenyo, hivyo naye hatapenda awe miongoni mwa ndoa hizo
No comments:
Post a Comment