NEY WA MITEGO ASHOOT VIDEO YAKE MPYA AKIWA MAKABURINI...!!

IMG-20130115-WA005
Rapper mwenye mashairi ya utata, Ney wa Mitego hivi karibuni alikuwa location kushoot video ya ngoma yake mpya ‘Wamenichokoza’. Katika kupata kitu tofauti zaidi kwenye video hiyo, Ney ameamua kuifanyia video hiyo makaburini. Hizi ni baadhi ya picha za behind the scenes.
IMG-20130115-WA000
IMG-20130115-WA003

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger