Showing posts with label UDAKU. Show all posts
Showing posts with label UDAKU. Show all posts

VIDEO: MCHUNGAJI AFUMWA AKIMLA URODA MREMBO WAKIWA GEST

yaan nisheeda...Wakazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi, Kenya walishuhudia kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa. Hata hivyo, mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa huduma. Jionee. cheki video hapa chini
Read more >>

STEVE NYERERE AAIBISHWA NA DEMU AKIWA UWANJANI , SOMA HAPA

NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’.
Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na mrembo huyo.
Ishu hiyo ilijiri Jumamosi ya Septemba 20, 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini hapa wakati wa pambano kati ya Yanga na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo wenyeji walishinda 2-0. Steve alitinga uwanjani saa 11:00 jioni akiwa na demu huyo mrefu kwake,aliyetinga kipensi cha jinzi kifupi na tisheti ya njano na kijani (zinazotumiwa na Yanga).
Wakati wawili hao wakipita kwenye jukwaa la mashabiki wa Simba, ndipo walipozomewa na wengine kuwarushia chupa za maji kwa kile kilichodaiwa kuwa, demu huyo alivunja maadili ya Kitanzania kwa kuvaa kihasara hadharani.
Mrembo huyo akikatiza mbembezoni mwa uwanja.
Baadaye mwandishi wetu alimfuta Steve na kuzungumza naye kuhusu tukio hilo ambapo alisema: “Wale kunizomea ni haki yao ila mimi na mwenzangu tumeona kama wametushangilia.”
Alipoulizwa uhusiano wake na demu huyo,Steve aligoma kujibu badala yake alikimbilia kwa mwandishi mwingine wa Global Publishers (Musa Mateja) na kuomba msaada. Mrembo huyo alipotakiwa kuzungumzia tukio hilola kuzomewa na sababu za yeye kuvaa vile, alijibu kwa mkato: “Kuzomea ni haki yao, mimi nawaona kama washamba tu.”
Read more >>

FUMANIZI LA MWAKA: MKE AMBONDA HAWARA GESTI!


                           Hawara akipokea kichapo hevi kutoka kwa Mama la mama.

Kila kukicha kunaibuka vituko vingi duniani, wamo wanaosema huenda ni mwisho wa dunia! Mama mmoja almaarufu kwa jina la Mama la Mama anadaiwa kumbonda hawara wa mumewe baada ya kumwekea mtego wa fumanizi kwenye nyumba ya kulala wageni (gesti).
Hawara akihaha ndani ya gesti ya White Paris (kimara) mara baada ya fumanizi.
SEKESEKE
Sekeseke hilo kubwa na la aina yake lililoshuhudiwa na wanahabari wetu lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Gesti ya White Paris iliyopo eneo la Kimara-Kona jijini Dar na kusababisha umati (inzi) kujazana na kufunga mtaa.

ILIKUWAJE  WANAWAKE KWA WANAWAKE?
Habari zilidai kwamba Mama la Mama alihisi mumewe anachepuka hivyo aliamua kumfuatilia nyendo zake hasa kwenye kipengele cha matumizi ya simu.Ilisemekana kwamba, Mama la Mama alichukua laini ya simu ya mumewe alipokuwa akijiandaa kwenda kazini.

Hawara  akidhibitiwa mara baada ya kunaswa katika mtego wa Mama la mama.
Ilidaiwa kuwa baada ya mumewe kuondoka na simu bila kujua haina laini, Mama la Mama aliiweka laini hiyo kwenye simu yake kisha akapitia namba kadhaa na kuitilia mashaka moja na alipopiga, akawa amepatia.Akamhadaa kwa kubadilisha sauti na kuzungumza kama mumewe.
MWANAMKE AINGIA MKENGE  
Habari zilizidi kunyetisha kuwa baada ya kubadili sauti alifanikiwa kumwingiza mwanamke huyo mkenge lakini hawara huyo akamuuliza kulikoni ‘baby’ sauti imebadilika ndipo akamjibu anaumwa.


Ilielezwa kwamba Mama la Mama alimdanganya hawara huyo kuwa endapo wataonana atapona hivyo akamwambia wakutane gesti hiyo kwa kuwa Mama la Mama ni mkazi wa Kimara, Dar.Ilisemekana kuwa Mama la Mama, huku akijifanya mwanaume alimuomba hawara huyo wakutane gesti kwani alikuwa amekumbuka penzi lake.
Ilidaiwa kwamba, bila kufikiria mara mbili, hawara huyo alikurupuka, akafunga safari kwa kuwa aliahidiwa penzi na fedha za kujikimu.Ilisemekana kwamba baada ya makubaliano Mama la Mama alikwenda kwenye gesti hiyo na kulipia chumba kisha akamsubiri kimwana ambaye alikuwa akitokea eneo la Kigogo, Dar.
Hawara akitoka gesti mara baada ya kuambulia fedheha kuu iliyomsibu.
NDANI YA CHUMBA CHA GESTI
Habari zilitiririka kuwa baada ya kufika kwenye chumba alichoelekezwa ndani ya gesti hiyo alishangaa kukuta aliyemuita ni mwanamke mwenzake ambapo alijikuta akiishiwa nguvu na kupigwa na butwaa.
Wanahabari wetu wakiwa eneo la tukio, walimwona mrembo huyo akiwa amechanganyikiwa na hapo ndipo sekeseke likaanza na kujaza kadamnasa ndani na nje ya gesti.

KIPONDO
Mama la Mama alishuhudiwa akimbonda mwanamke huyo kwa madai kwamba amekuwa akimzuzua mumewe na kumfanya ashindwe kutulia kwenye ndoa.
Hawara kulia akiwa mapokezi ya gesti hiyo.
HAWARA AKODI CHUMBA KUKWEPA KIPIGO
Baada ya sekeseke zito, hawara huyo aliogopa kutoka nje ya gesti akihofia kupokea kipigo kutoka kwa raia wenye hasira kali waliokuwa wamezagaa nje hivyo aliamua kukodi chumba kingine ambapo alizama chumbani kisha kujifungia kwa ndani na kulala.

Akiwa kwenye mishemishe zake bila kutambua lolote, mwanaume aliyesababisha wanawake hao kukutana aliendewa hewani na mkewe na alipoulizwa kama anamfahamu mwanamke aliyeitwa gesti alijibu kuwa aliwahi kuwasiliana naye walipokutana baa kwani ni baamedi.
Umati wa watu ulioshuhudia laivu songombingo hilo.
MTUHUMIWA ANENA
Awali kabla ya kujifungia chumbani, hawara huyo alidai kuwa mume wa Mama la Mama ni mpenzi wake ambapo wamedumu kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa takribani mwezi mmoja.

Alisema kwamba kilichomtokea anamwachia Mungu kwani amedhalilika kupita maelezo.
Hadi gazeti hili linang’oa nanga eneo la tukio Mama la Mama alikuwa ameondoka eneo hilo huku hawara akiendelea kutandika usingizi chumbani.
Read more >>

WATWANGANA LAIVU KISA MWANAUME, ANGALIA HAPA

http://yamotto.blogspot.com/2014/09/kweli-naniliu-ya-mwanaume-ni-tamu-zaidi.html
Read more >>

LAANA: WAMAMA WATU WAZIMA WAAMUA KUONYESHA UTAMU WAO HADHARANI , TAZAMA LAANA HII

Shindano hilo lilianza manamo saa 4,30 warembo wote waliingia jukwaani kujitambulisha huku majaji Chilumba Emmanuel na Jaji msaidizi Hidaya Mohamedy walikuwa wakihakikisha mshindi anapatika kwa njia halali. Hata hivyo shindano hilo

Read more >>

BOSI AUMBUKA BAAA YA KUNUNUA MACHANGUDOA WENGI, ONA MWENYEWE HAPA

Read more >>

LAANA: VIDEO YA WANAWAKE WAKIGOMBANIA BWANA HADI KUVUANA NGUO MBELE YA WATOTO WAO

 
Hiii video inasambaa kwa kasi sana katika mtandao wa facebooka na twitter,kwa mujibu wa chanzo chetu wanawake hawa waliamua kugombania bwana baada ya mmoja wa wanawake hao kugundua kwamba mume wake ana chepuka ...!!!

 OMBI KWA WADAU WETU VIDEO HII NI MBAYA SANA KWANI HAO WAMAMA PICHANI WALIVUANA NGUO HADHARANI SO TUMEONA SIO BUSARA KUIWEKA HAPA
Read more >>

LAANA: AFUMWA AKITAKA KUMLA URODA DADA YAKE WA TUMBO MOJA

 
Hatimaye kizazi cha nyoka chashika hatamu...!!! eti jamani unawezaje kumshika dada wa tumbo moja kama hivi wana akili kweli hao au ni laana inawasumbua jamani...!!!
Read more >>

HII NI LAANA 100%, ANGALIA MWENYEWE UFIRAUNI HUU

SHOO za wanawake wanaokata nyonga kwa kuonesha maungo yao nyeti hadharani, zinazidi kutikisa jijini Dar es Salaam zikielezwa kwamba zimejaa laana kwa asilimia 100, Ijumaa Wikienda lina ripoti ya kushtua.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba, katika wilaya tatu za Jiji la Dar, Kinondoni, Ilala na Temeke, kuna makundi matatu ya wanawake maarufu wanaosifika kwa kufanya shoo za kuonesha nyeti zinazosababisha mazingira hatarishi kwa kuchochea ngono.

Imefahamika kwamba, kabla ya kupanda stejini kufanya shoo mbalimbali wanazoalikwa, wanawake hao huloanisha khanga nyepesi kwenye maji ambazo huzitinga zikiwa hazijakauka hivyo kugandiana mwilini na kuonesha sawia nyeti zao.
Uchunguzi huo pia unabainisha kwamba, ndani ya khanga hizo huwa hawavai nguo nyingine hivyo wakati wa kukata mauno, hujifunua kihasara hasara na kuacha ‘mambo’ yote hadharani.

Ikaelezwa kwamba, wanawake hao waliojaliwa maumbile yenye mvuto na makubwa hasa sehemu za nyuma, hukodishwa na waandaaji wa shoo mbalimbali za muziki hasa mipasho ili kuongeza idadi ya mashabiki kwani wanapendwa zaidi na wadau wa burudani Bongo.

Imefahamika pia kwamba, mbali na kujifunua wakati wa kukata nyonga, hulala chini na kukatika kwa hisia, jambo linalosababisha waume za watu wanaokuwa wamehudhuria shoo hizo kuwamwagia fedha na sifa kuwa ni wakali na kutamani kuwa nao faragha.
Imebainika kwamba, kundi tishio ni lile la Kinondoni liitwalo Khanga Moko Ndembendembe ‘Laki si Pesa’ ambalo linaundwa na wanawake zaidi ya sita.

Usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Equator Grill Mtoni Kwaazizi Ali, Dar, kundi hilo lilifanya shoo ya aibu kama kawaida yake na kusababisha watu wenye heshima zao kushindwa kuwaangalia ambapo kulikuwa na fainali ya kumsaka Miss Kurasini 2011/12.

Ilidadavuliwa kwamba, kundi lingine tishio kwa kucheza nusu utupu ni lile la Ilala linalokwenda kwa jina la Kitu T linaloundwa na wanawake watano ambalo hucheza kwa kuonesha makalio na kuhamasisha mapenzi ya ‘kuruka ukuta’.
Uchunguzi huo pia ulibaini kwamba, Temeke kuna kundi la ‘sampuli’ hiyo linaloitwa Kitu Kimba ambalo lina wanawake zaidi ya watano waliojiajiri kwa kufanya shoo za kuonesha nyeti hadharani.

MREMBO AJIFANANISHA NA KHANGA MOKO
Katika kuonesha shoo hizo zinazidi kuchukua kasi, mrembo mmoja (jina halikupatikana) anayedaiwa kuwa ni mwanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama, Dar, mwishoni mwa wiki iliyopita alijifananisha na wanawake hao baada ya kufanya shoo ya laana ukumbini.

Tukio la mrembo huyo la kucheza kwa kuonesha nyeti hadharani lilijiri ndani ya Ukumbi wa New Ten Star Lounge Social Sinza, Dar ambapo kulikuwa na fainali ya kumsaka Miss Ustawi wa Jamii 2011/12.

Mrembo huyo alishuhudiwa akipagawa ‘mdogomdogo’ ambapo alifikia hatua ya kumpandia stejini msanii wa Bongo Fleva, Albert Mangwea ‘Ngwair’ kisha akaanza kukatika kwa kulala chini kama wafanyavyo wanawake wa Khanga Moko.
MASTAA TISHIO
Uchunguzi wa gazeti unaweka wazi kwamba, pamoja na kukemewa kila kukicha juu ya uvaaji wao wa kuacha matiti nje, mastaa wa tasnia mbalimbali Bongo wamekuwa ni sikio la kufa ambalo kwa kawaida huwa halisikii dawa.

Baadhi ya mastaa hao ni pamoja na mwimbaji wa Mipasho, Aisha Ramadhani ‘Isha Mashauzi’ na mnenguaji wa FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’, Suzane Chubwa ‘Queen Suzy’.

Wengine ni staa wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha na msanii wa filamu za Kibongo, Zuwena Yusuf Mohamed ‘Shilole’.
Read more >>

ANGALIA PICHA WATU WAKIFANYA UFUSKA NDANI YA CLUB

amani kwa wale wageni wa jiji msishangae sana kwa sababu haya ndio mambo yanayoendelea kwa kasi sana ndani ya Nightclubs kilausiku. Watu wananyonyanaga ndimi na kutiana madole na wakati mwingine kugongana kabisa ndani ya Clubs hizo!!!Sijui tunaelekea wapi jamani kwa maana hali si hali. Watu wanafanya sana ufuska kiasi kwamba mpaka ninaogopa kuwa kizazi chetu kimezidi kile cha Sodoma na Gomora kwa uovu uliokithiri!!
 
Wanachuo warekodi movie ya ngono, ona hapa<<http://mdadisitz.blogspot.com/2014/09/laana-wanachuo-wafyatua-movie-ya-ngono.html
Read more >>

HAWA NDIO MAKAHABA WA JIJINI TANGA WANAOJIUZA KWA JERO JERO TU

BAADHI ya wakazi wa jijini Tanga, wameomba
uongozi wa Wilaya ya Tanga kwa kushirikiana na
Jeshi la Polisi, kuweka mkakati endelevu,
utakaodhibiti wimbi la vijana wa kike wanaojiuza
miili yao nyakati za usiku kwenye baadhi ya
barabara za katikati ya mji na bustani za
kupumzikia.Wamesema hatua hiyo, itasaidia
kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelezwa...
Read more >>

HIVI NDIVYO DIVA ALIVYO MUADHILI MH. ZITTO KABWE :AANIKA MESSAGE ZA MH ZITTO KABWE

Kuwa uyaone mengi sio maghorofa bali ni vituko vya binaadam katika hii dunia just imagine Zitto anavyoabika sasa hivi daaah, hivi kweli kuna mwanaume aliekuwa mahabani na Diva naye akasema nina girlfriend?? baada ya Zitto kumkana Drama Queen kwamba hatoki naye sasa drama queen amtolea za uso na kutoa moja ya email aliotumiwa na zitto mmmh Diva,Diva,Diva huendani na jina lako jus take a chill n relax, sijui unafanya comedy,attention seeker but you know better ila haipendezi punguza Mama:
zitto 
Email Kutoka kwa Zitoo Kwenda Kwa Diva:

mail1mail2


HII NDIO STYLE AMBAYO MWANAMKE UKIMKUNJA ATALIA MPAKA KIKWAO, CHEKI HAPA<<http://mdadisitz.blogspot.com/2014/09/ukimfanya-hivi-mwanake-basi-atalia.html
Read more >>

DENTI WA SECONDARY CHUPUCHUPU KULIWA URODA, ALISHAVULIWA KILA KITU, SOMA ZAIDI HAPA

Denti alibakia chupu chupu kuliwa uroda
na njemba wakiwa wameenda porini kwa
majambozi kwa bahati nzuri mchezo
mzima kumbe ulikuwa unafatiliwa na
wajanja wa town ..


USHAURI:
mwenzenu mapenzi yataiua, nimelipata jishuga mamy, linanifanyia kila kitu, lamtoroka mumewe na kuchukua chumba katika hoteli la kifahari ili nilipige mambo, sasa nimechoka kwani hili jimama linapumzi utadhani anamiaka 25, nishurini nilifanyaje kwani mimi napenda pesa, stori kamili ipo hapa<<http://mdadisitz.blogspot.com/2014/08/ushauri-jimama-litaniua-kila-akitaka.html
Read more >>

DIAMOND ANUSURIKA KUPIGWA NA MASHABIKI HUKO UJERUMANI,POLISI WAMWOKOA,PROMOTA AINGIA MITINI, MKASA WOTE HUU HAPA

Sehemu ya ukumbi ulioharibiwa vibaya na washabiki mjini stuttgart,ujerumani
 Gari ya Polili ilioibuka kumuokoa Diamond kufuatia sakata la mashabiki wake kupandwa na jazba


Stuttgart,Ujerumani,
Usiku wa Jumamosi ya Tarehe  30.Augost 2014, majira ya saa 10 alfajiri
Mwanamuziki nyota wa Bongo Flaver  Nasib Abdul aka Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,ujerumani,baada ya washabiki waliokuwa na hasira kuchoka kusubiri show,washabiki hao waliokuwa wamelipa ticket euro 25 kwa kiingilio waliahidiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku,lakini walijikuta wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku au alfajiri ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.

Hapo ndipo washabiki walipoona kuwa hawakutendewa haki walianza kurusha chupa na kutaka kumvamia mwanamuziki  Diamond na promota wake,Kilichowakera zaidi washabiki ni pamoja na vyombo vibovu vilivyofungwa katika ukumbi huo kitu ambacho kiliwafanya washabiki kuvunja hadi vyombo vya muziki ma-Djs walishambuliwa na wapo Hosptalini kwa sasa.

Mmoja wa Djs hao alipoteza Lap top yake ,mwanadada DJ  Flor alipatwa shock mshtuko wa moyo na kukimbizwa hosptali, washabiki hao walimpa kipigo  DJ Drazee naye yupo hoi hospatal. 

Polisi nchini ujerumani wanamesema tukio hili la aibu halijawahi kutokea,kuwa msanii kuchelewa kufika jukwaani kwa ujerumani ni kitu cha hatari kwani washabiki wa ujerumani wanaheshimu sana muda wao.

mpaka sasa polisi wanamsaka mwandaaji wa onyesho hilo na wamesema kuwa wanachunguza thamani ya hasara hiliyosababishwa na ghasia hizo na pia itamfungulia mashataka promoter huyo raia wa Nigeria,ambaye pia anachunguzwa kwa kusemekana anajihusisha na mtandao fulani wa biashara.

Magazeti ya Stuttgart; yameandika "Washabiki wa hasira nawe DIAMOND"  link:

Read more >>

BREAKING NEWS: DIAMOND NA KASHFA YA MADAWA YA KULEVYA

NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni.

Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi.

Habari za kiintelijensia zilidai kwamba, kisa cha kikosi hicho kufanya hivyo kinadaiwa kuwa, serikali inamhofia kujihusisha na biashara hiyo haramu ya kusafirisha madawa ya kulevya ‘unga’ nje ya nchi kwa kutumia kivuli cha kwenda kufanya shoo.
Akizungumza na wanahabari wetu jijini Dar, Jumatatu iliyopita, afisa mmoja wa ngazi ya juu wa kitengo hicho ambaye hakupenda kuchorwa jina gazetini, alisema Diamond amepewa maelekezo yote muhimu.

MAELEKEZO ALIYOPEWA


“Tumempa maelekezo Diamond, atuletee mikataba ya shoo zote anazokwenda kuzifanya nje ya nchi ili tujiridhishe kama kweli ni halali au anakwenda kwa ajili ya biashara nyingine.

“Hiyo yote inatokana na uchunguzi wetu kwake kuhusu akaunti zake za benki kuonesha kwamba ana fedha nyingi sana zinazotia shaka kama amezipata kihalali,” alisema afisa huyo.

‘Diamond Platnumz’ akiwa kazini.

KUNUNUA NYUMBA
Afisa huyo aliendelea kusema kwamba, uchunguzi wao pia umebaini kwamba, msanii huyo wa Bongo amekuwa akinunua nyumba kila anaporejea kutoka kwenye shoo zake nje ya nchi, jambo ambalo taasisi haiamini kama kweli analipwa pesa nyingi kwa shoo moja, kiasi cha kumwezesha kununua nyumba jijini Dar.


“Tumebaini kwamba Diamond kila akirudi nchini kutoka kwenye shoo zake hununua nyumba. Analipwa kiasi gani cha fedha kule kwenye shoo? Hapa ndipo tunaposimamia sisi,” alisema afisa huyo huku akigongea msumari kuwa Diamond mwenyewe amekatazwa kuzungumza kwenye vyombo vya habari kuhusu kutakiwa kuwasilisha mikataba ya shoo zake za nje.


 KUNA UKWELI?

Amani lilifuatilia na kubaini kwamba, Diamond aliporejea kutoka kwenye safari yake ya Marekani hivi karibuni, alinunua nyumba kwa Sh. milioni 80 iliyopo maeneo ya Mwananyamala-Magengeni, Dar.

Siku za nyuma, msanii huyo aliwahi kuripotiwa kununua nyumba zaidi ya mbili maeneo ya Kijitonyama, Dar, kiasi cha kuandikwa na vyombo vya habari kwamba amenunua mtaa.


Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa.
KUHUSU AKAUNTI YA BENKI

Diamond mwenyewe aliwahi kuhojiwa katika Kipindi cha Take-One kinachorushwa hewani na CloudsTV ambapo alipoulizwa akaunti yake inasomaje, alijibu kuwa ina zaidi ya bilioni moja hivi.


DONDOO ZA UWEZO WA DIAMOND

1. Ana utajiri unaozidi shilingi bilioni 1.
2. Yupo kwenye mazungumzo na promota wa Rwanda kufanya shoo moja ya uwanjani ambayo anaweza kulipwa dola 120,000 (zaidi ya Sh. milioni 190).


3. Malipo ambayo hupokea kwa shoo zake nyingi za nje ya nchi hayashuki chini ya dola 25,000 (zaidi ya Sh. milioni 40).
4. Tangu mwaka 2011 mwishoni akaunti yake haijawahi kushuka chini ya Sh. milioni 100.
5. Anamiliki nyumba kadhaa jijini Dar ambazo amepangisha watu.
6. Ili kuvunja mkataba na aliyekuwa meneja wake, Papa Misifa ilibidi amlipe Sh. milioni 18.


NZOWA AZUNGUMZA NA AMANI

Gazeti hili lilimtafuta Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Nzowa ambapo alipopatikana na kuulizwa, alisema:


Sehemu ya madawa ya kulevya yaliyowahi kukamatwa.

“Ni kweli! Sisi kila mtu mwenye kipato cha kutia shaka lazima tumchunguze. Diamond kama ana mali zote kwa nini tusimchunguze. Ikithibitika anajihusisha na biashara haramu ya dawa za kulevya ama zake ama zetu huo ndiyo utaratibu wetu.”

DIAMOND SASA
Amani lilimsaka Diamond na kumuuliza kama analijua kasheshe hilo ambapo alisema:
“Najua, ila nimegundua kuna watu wamepanga kunishusha chini kisanii ndiyo wanaoeneza taarifa kwamba mimi nasafirisha unga.”
Amani: Sasa unadhani kwa nini hao watu unaosema wamependa kukushusha kisanii wasitumie njia nyingine, hasa ya sanaa wakatumia hiyo ambayo unasema si kweli?
Diamond: We elewe hivyo kaka (akakata simu).

SAFARI ZA NJE
Kwa kipindi kirefu sasa Diamond ambaye ni mpenzi wa Wema Isaac Sepetu, amekuwa akisafiri nchi mbalimbali kwa shoo na mambo binafsi ambapo mbali na nchi kibao za Bara la Afrika, ameshasafiri nchi nyingi zikiwemo Marekani, Uingereza, China, Norway, Ujerumani, Dubai na nyinginezo
Read more >>

UDAKU: WASTARA JUMA AZICHAPA NA MUMEWE MAHAKAMANI

WIKI iliyopita katika makala haya tuliishia pale mwigizaji Wastara Juma alivyokimbizwa na mumewe wa kwanza na kuokolewa na difenda la polisi, TUENDELEE…



APEWA TALAKA

Mwandishi: Nini kiliendelea baada ya purukushani hizo zote?
“Zilipita siku tatu mume wangu alinipigia simu akiwa na dada yake na kunitamkia kwamba ameniacha kwa talaka tatu na huyo dada yake ndiye shahidi na hiyo ilikuwa mwaka 1999.
“Haikupita miezi miwili alikuja nyumbani na kuandika talaka tatu za maandishi hivyo nikawa nipo tu nyumbani na wakati misukosuko yote ikiendelea, mama yangu alikuwa ameshafariki.

WASULUHISHWA
Mwandishi: Kwa hiyo katika kupewa talaka hizo hamkurudiana tena?
“Baada ya kunipa talaka kwenye simu wazazi wake walikuja kusuluhisha tukarudiana akaja kumchukua mtoto na akaenda kukaa naye Zanzibar huku mimi nikiwa nimepata kazi ambapo mwanangu alikaa huko kwa mwaka mmoja nilipoenda kumuona nikakuta ana utapia mlo ukweli nilisikia uchungu, niliwaambia namchukua mwanangu akanipokonya na kwenda kujifungia naye chumbani ambako nilienda na kuvunja mlango nikamchukua mtoto kwa nguvu ndipo alipokaa kwa miezi miwili akaja kuniandikia talaka ya maandishi.

APATA MCHUMBA MWINGINE
Mwandishi: Je baada ya kupewa talaka ulipata mchumba mwingine?

“Ndiyo nilipata mchumba ambaye kwa upande mwingine ni ndugu yetu ambaye alikuwa anaishi hukohuko Zanzibar lakini nilishangaa siku moja nikiwa naye pamoja na ndugu zangu wengine tumetoka kutembea, tulipofika nyumbani polisi wakaingia na kutuulizia mimi na yule mchumba ambapo walituchukua mpaka kituoni na nilipohoji walisema kwamba mume huyo wa zamani amenifuma na mwanaume mwingine wakati yeye ndiye mume wangu.


Wastara Juma akipozi.
“Tulikaa selo mpaka familia zote mbili zilipokuja na kuzungumza lakini hawakufikia muafaka, nikaomba ile kesi ipelekwe mahakamani kwa sababu sikuwa mke wa mtu, tukaenda mahakamani yule kijana ambaye ndiyo tulikuwa tunaanza uchumba yeye hakuwa na makosa tukabaki mimi na huyo mwanaume.

“Ilikuwa ni kama sinema kwani kila tulipokuwa tukikutana mahakamani tulikuwa tunapigana sana mpaka mahakama ikaamua kutuhamishia kwenye mahakama ya Kadhi (inayoshughulika na masuala ya ndoa) ambapo mwanaume huyo alidai kwamba anataka arudishiwe mahari yake nikaomba kesi ihamishiwe Dar, nikakubaliwa.

“Kabla sijafika Dar nikakuta ameshaniwahi na kwenda BAKWATA ambako alitakiwa anipe talaka lakini akaandika majina tu na kuondoka, Bakwata walinisaidia tukapeleka mahakamani ambapo tangazo la mahakama kutoa talaka lilitangazwa kwenye magazeti ya serikali kwa siku 39 ili mwenye pingamizi apeleke lakini hakuna aliyejitokeza hivyo nikapewa talaka na mahakama.

Mwandishi: Baada ya kumalizana na mumeo huyo uliendelea tena na yule mchumba?


“Niliendelea naye lakini tukiwa kwenye kuchunguzana siku moja nilikwenda kumtembelea kwao akaja mwanamke akawa anazungumza maneno mengi yakimhusu huyo mchumba kumbe alikuwa ni mwanamke wake, alipoondoka huyo jioni yake akaja mwingine akiwa anamuulizia na kesho yake akaja wa tatu ambaye alikuwa akilalamika kwamba huyo mwanaume anasikia ana mchumba wakati yeye ni mwanamke wake
Read more >>

WAFAHAMU MASTAA WATANO AMBAO WAPENZI WAO NI WABAYA WA SURA.

1. Beyonce & Jay-Z
2. Hugh Jackman & Deborra-Lee Furness
3. Salma Hayek & Francois-Henri Pinault
4. Kristen Bell & Dax Shepard
5. Tori Spelling & Dean McDermott
Read more >>
 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger