"TAFUTA HELA MBWA WEWE....HATA HELA YA SIGARA HUWA UNAOMBA CLUB"..HILI NI TUSI LA JAYDEE KWA T.I.D BAADA YA KUGOMA KUSHIRIKI KWENYE SHOW YAKE...!!
TID a.k.a MNYAMA leo amejikuta akiambulia matusi ya nguoni baada ya kuitosa show ya Lady Jaydee na kuandika chenga zake katika Account yake ya Facebook.... Hizi ni comment za hao mashabiki wake walioamua kumharibia siku yake.....
No comments:
Post a Comment