Lakini wiki
iliyopita Caroline alitiwa tena mbaroni kwa kuwasumbua majirani zake na
kelele za ngono kwenye majira ya saa nne asubuhi ya siku ya jumapili.
"Ilikuwa
ni dakika 10 tu sio masaa mawili kama kawaida yetu, iweje majirani
wametusikia wakati kitanda tulikiamshia chumba cha chini na sio
chumbani", alilalamika Caroline.
Mwaka jana Caroline kutokana na
kosa kama hili alihukumiwa kifungo cha nje cha miezi 12 na kuamuriwa
asitoe kelele tena wakati akifanya mapenzi kwenye maeneo yoyote ya
nchini Uingereza na Wales.
Mahakama ilisikilizishwa sauti
anazotoa bi Caroline Cartwright wakati akifanya mapenzi na mumewe Steve
Cartwright na kuungana na madai ya majirani wa mtaa wake ambao walisema
kuwa kelele zake huwakosesha usingizi kwani ni sawa na kelele za mtu
aliyekuwa kwenye maumivu makali sana wakati akijeruhiwa au kutolewa
roho.
Ilidaiwa pia kuwa hata jirani yake mmoja ambaye ni nusu kiziwi hukosoka usingizi kelele hizo zinapoanza.
"Sauti
anazotoa Caroline na miungurumo ya mumewe Steve si za asili ni kama
vile wote wawili wapo kwenye maumivu makali sana", mahakama iliambiwa
katika kesi yake ya awali.
Caroline atafikishwa tena mahakamani mei 13.
No comments:
Post a Comment