'Hamza King Majuto' Na Aunt Ezekieli katika moja ya picha za behind the sin.
Msanii huyu nyota wa filamu kutoka Bongo Movies mwanadada Aunt Ezekieli kwa
sasa yupo Mkoani Tanga kwa maandalizi ya filamu atakayocheza na watoto
wa mzee King Majuto. Filamu hiyo itakayotambulika kwa jina la CHUNGU KIMOJA.
No comments:
Post a Comment