DIAMOND, MWANA FA NA AY KUUNGANA NA WASANII 19 KUTOA WIMBO MMOJA NCHINI AFRIKA KUSINI, SOMA ZAIDI HAPA



Wasanii kutoka Tanzania, Ambwene Yessaya na Diamond Platnumz siku ya jana walisafiri kuelekea Afrika Kusini ambako wanaungana na wasanii wengine kutoka bara la Afrika kwa ajili ya kufanya wimbo wa pamoja ambao unatambulika kama mradi wa “Do Agric” kwa ajili ya kuhamasisha kilimo barani Afrika huku ikitumika kuwashtua viongozi wa Afrika juu ya kuchangia asilimia kumi kwenye kilimo.


No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger