VIDEO: ANGALIA VIDEO YA MECHI KATI YA MAN CITY NA BARCELONA, ILIYISHA KA BARCA KUSHINDA MAGOLI MAWILI KWA BILA

Wachezaji wa Barcelona, Fabregas na Iniesta wakimpongeza Messi baada ya kufunga bao la kwanza.
Beki wa Man City, Martin Demichelis akimchezea Messi rafu iliyopelekea penalti na kadi nyekundu.
...Martin Demichelis akizawadiwa kadi nyekundu.
Messi akifunga bao la kwanza kwa Barcelona.
TIMU ya Barcelona imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Etihad, Manchester!
Mabao ya Barcelona yamewekwa kimiani na Lionel Messi kwa mkwaju wa penalti dakika ya 54 baada ya kuangushwa eneo la hatari na beki wa Man City, Martin Demichelis aliyepewa kadi nyekundu.
Bao la pili limefungwa na Dani Alves dakika ya 90 ya mchezo na kuipa ushindi wa bao 2 Barcelona.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger