MTANGAZAJI wa Clouds Fm Loveness
Malinzi amedhiirisha kwa mashabiki zake kuwa hajali maneno mabaya waliyofunguka
dhidi yake juu ya kuachia picha yake ikionesha kiuno chake ambacho kina cheni
ya dhahabu, Diva aliwahi kuiweka picha hiyo miezi kama 6 iliyopita na kuambulia
matusi mazito kutoka kwa mashabiki zake huku wengine wakuthubutu kusema Diva
anatafuta biashara yani anatafuta mtu wa kumnunua. Lakini maneno yote hayo
yaliyotolewa na mashabiki hayakumuingia akilini Diva ndipo juzi alirudia na
kuipost Picha ile ile aliyoambulia matusi.
Itazame picha hiy hapa chini...
Maigizo mengi sana nchini huwa yanalalamikiwa kukosa uhalisia wa tukio,hebu tumia dakika zako chache kuangalia namna picha hizi zilivyochanganywa ambazo zinamuonyesha Kitale kama kamkata kichwa huyo jamaa.

Kwa haraka haraka unaweza kudhani kweli lakini bado sijajua jina la movie hii ingawa kwa kisehemu hiki kinaonyesha kama ni movie inayoongea na vitendo zaidi,lakini najiuliza hapa mbona kichwa hakionekani maana kwa picha hii inaonekana kama jamaa ndo kamkata Kichwa muda huo.
Inawezekana labda hakikutakiwa kuwepo kwa mujibu wa muongozaji ‘Director’ .kwenye post za kitale picha ya juu aliipa maelezo’Jela kwetu si Disco’ na hii picha ya chini kaipa maelezo ‘Ukizingua tunazingua’ jina la movie hii bado hajaweka wazi ingawa wako kwenye hatua za utengenezaji. - See more at: http://www.onelovetz.blogspot.com/2014/02/tazama-picha-zinazowachanganya-watu.html#sthash.aQmQ1eYc.ECRSOyfq.dpuf

No comments:
Post a Comment