Amri Athuman’ King
Majuto’
alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza
kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto
maarufu kama King Majato ni mtunzi, muigizaji,mwandishi wa mswada.
Na ndiye muigizaji wa
kwanza kuandaa kazi zake katika mikanda na kuuza akiwa na Tanzania Film Company
( TFC) Kwa sasa King Majuto ni mwigizaji mwenye mashabiki wengi kutokana
maonyesho mbalimbali, vichekesho vyake aliyoshiriki nchi mbalimbali.
NA
HIZI NDIZO MOVIE ALIZOCHEZA KING MAJUTO, PIA UNAWEZA KUBONYEZA KILA JINA LA
MOVIE NA UKANUNUA ONLINE.
Source: Mdadisi Mambo Blog


No comments:
Post a Comment