skip to main |
skip to sidebar
FAHAMU MAAJABU YA NGUO NYEKUNDU KWENYE MAPENZI
imezihirishwa na wataalam wa mapenzi
kuwa nguo nyekundu ni mojawapo ya nguo ambayo mwanamke akivaa uvuta
atention kubwa ya wanaume, hii ni kutokana na ukweli kwamba nguo
nyekundu uonekana zaidi kuliko nguo yeyote maconi kwa wanaume,,,, na hii
na kutokana na ukweli husiopingika kwamba wanaume wengi uwa hawana
uwezo wa kutofautisha rangi nyingine kama ilivyo kwa nyekundu... kwa
hiyo kama wew ni mwanamke ambaye mpaka sasa hivi unatafuta mwenza wa
maisha jaribu kuvaa nguo za aina hii na kwa kufanya hivo utarahisisha
kazi yako ya kutafuta kwani utasimamishwa na wanaume wengi na miongoni
mwa hao uenda ukapata yule ambaye ana vigezo unavyoitaji na mwenye
mapenzi ya dhati,,,,,wataalamu pia wamebainisha ya kwamaba miongoni mwa
watu wanaopenda wanawake ndani ya gauni nyekundu ni matajiri au watu
wenye uwezo kwani uhisi wanawake hao ni waelewa na wachanganuaji mambo
hivyo kuwasaidia katika shughuri zao za kibihashara.... jaribu kuvaa
nguo nyekundu uone maajabu yake sasa na sio kuvaa siku ya valentine day
tu
No comments:
Post a Comment