KITUO KIZURI KULIKO VYOTE AFRIKA MASHARIKI KINACHONEKANA KAMA LODGE
Wakuu
hiki ndicho kituo bora pekee cha Polisi Tanzania nzima kipo maeneo ya
Sinza, hongera sana sana kamanda Renatus Pamba Diwani wa kata ya Sinza
kwa kuunganisha nguvu na wananchi na kujenga kituo hiki cha polisi.-Jamii Forum
No comments:
Post a Comment