Furaha tupu: Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wao mnono dhidi ya Arsenal leo

+19
Huruma: Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere akiwa haamini macho yake juu ya kilichowakuta leo
Kama hukuiona mechi ya ARSETANO basi huu ndio wakati wako murua kuangalia magoli yate, kwani mechi hiyo ilikwisha kwa ARSENAL kubugizwa magoli matao kwa moja (5-1) na timu ya LIVERPOOL, nisiwe muongeaji sana angalia mwenyewe hapa jinsi mambo yalivyokuwa ANFIELD hapa
VIDEO HII HAPA:
No comments:
Post a Comment