MSIKILIZE ALICHOKISEMA WEMA KUHUSU YULE MDADA ANAYETOKA NA KIGOGO

You-heard21 
Wiki kadhaa zimepita sasa tangu kutangazwa kuwa Wema kanyang’anywa kila kitu na mtu anaesemekana kuwa alikua mpenzi wake ambae kwa maelezo inasemekana yeye ndiye aliyenunua vitu hivyo,baada ya hapo zikapita story kuwa jamaa kwa sasa anamchukua rafiki wa Wema,sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm Kagera.
Bonyeza play kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger