Mitaani
ndiko kunakotokea mambo mengi ya kuchekesha kuelimisha na kufundisha
pia,hii Hekaheka inamhusisha mzazi mmoja aliyejitolea kumlea mtoto
ambaye si mtoto wake wa damu lakini wanafanana sana,kiasi majirani
wamemtilia shaka jamaa huyo baba kaongea kuhusu hilo,sikiliza kupitia
88.0 Clouds Fm Tabora.Bonyeza play kusikiliza.

No comments:
Post a Comment