MUANGALIE SHILOLE NDANI YA THE SPORAH SHOW AKIKIRI ALIBAKWA AKIWA NA MIAKA 14

SHILOLE 1



Akitamba na vibao vyake kama “Paka La Bar”, “Nakomaa na Jiji”, pamoja na ngoma yake mpya iitwayo ”Chuna Buzi”,
mwanadada Shilole ambaye ni muimbaji, muigizaji na pia ni mama wa watoto wawili, amefunguka kuhusu maisha yake jinsi alivyopambana mpaka kufikia hapo alipo, harakati zake za kimuziki, na misukosuko iliyompata kupitia kipindi cha televisheni maarufu kama Sporah Show…
SHILOLE

Shilole   On Sporah Show….
“Nilibakwa nikiwa na umri wa miaka 14″, Ni maneno ya Shilole ndani ya mahojiano na The Sporah Show. Itazame hapa

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger