MZEE MAJUTO NI BALAA, MUONE HAPA AKIKATA MAUNO

Huyu ndiyo King Majuto mchekeshaji nambari moja nchini Tanzania. anaanza yeye wengine ndiyo wanafata. Tazama hii picha ambayo ni moja ya kipande kitakachokuwepo katika filam mpya ya mwanadada Nisha inayoitwa GUMZO ambapo mzee majuto amefanya yake humo ndani. Tazama picha hii afu funguka unadhani hiyo filamu itakuwa ya kukosa kweli.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger