
Aliyekua raisi wa marekani na anayeheshimika sana
Tanzania na ulimwenguni kote amejikuta akiwa gumzo vyombo vya habari vyote duniani baada ya
mwanadada mrembo anayejulikana kwa jina
la Elizabeth Harley , habari hizi zilienezwa na X boyfriend {Tom
Sizemore }wa mrembo huyo ambaye anadai
aliwategeshea Bill Clinton na mrembo huyo hotelini ambapoa walispend
husiku huo
pamoja huku mke wa raisi huyo akiwa chumba cha pili katika gest hiyo,
inadaiwa wakati wawili hao wakitoka uhusiano wa bi hirary clinton na
mumewe ulikua una utata.
Hata hvyo mrembo huyo
amekanusha uvumi huyo na kudai anamwachia lawyer wake ambaye atashughurikia
kila kitu.

No comments:
Post a Comment