SOGGY APATA MTOTO WA PILI

Rapper na Program director wa Ebony Fm ya Iringa, Anselm Tryphone Ngaiza aka Soggy The Entertainer amekuwa baba kwa mara ya pili baada ya mpenzi wake kujifungua mtoto wa kike.
Soggy n dota 
Soggy akiwa na mtoto wake wa kwanza
Soggy ambaye mtoto wake wa kwanza ni msichana pia (kwenye picha juu), ameshare furaha yake na marafiki kupitia facebook kwa kupost picha na kuandika:
soggy dota  
Mtoto wa Soggy Abigail ‘Jana usiku saa tatu ((February 7) Mungu amebariki ukoo wetu kwa kunipa mtoto wa pili wa kike….Anaitwa Abigail na namshukuru zaidi mpenzi wangu Leah Choma for everything’ Tunampa hongera Soggy kwa kujaaliwa kupata mtoto mwingine.

No comments:

Post a Comment

 
Support : WELCOME AGAIN MDADISI
Copyright © 2011. MDADISI WA MAMBO
THIS IS MDADISI
Proudly powered by Blogger